Home Music Mungu Wa Ishara by Kathy Praise

Mungu Wa Ishara by Kathy Praise

0
Mungu Wa Ishara by Kathy Praise Mp3 Download
Mungu Wa Ishara by Kathy Praise Mp3 Download

Powerful music titled Usikiaye Maombi by your favorite minister Kathy Praise


DOWNLOAD MP3

Kathy Praise Mungu Wa Ishara Lyrics

Repeat: Mungu wa ishara (God of Signs)
Moyo wangu ukuinue (May my heart lift you)
Dhabihu yangu uipokee (And You to receive my sacrifice)
Umetenda mambo makuu (For You have done great things)
Hakika wewe ni Mungu (Truly You are God)

Kama ulivyotenda hapo mwanzo (As you did before)
Tenda tena (Do it again)
Mungu mwenye nguvu, haushindwi kamwe (Almighty God, You are undefeated)
Tunakutazamia (We look up to You)

Ulifufua wafu, na kuponya magonjwa (You raised the dead, and healed the sick)
Vipofu wakapata kuona (The blind begain to see)
Yote ukiyatenda, kwa utukufu wako (You did it all, in Your holiness)
Yesu twakuabudu (Jesus we worship You) (Repeat)

Refrain:
Mungu wa ishara, Mungu wa miujiza, tunakuabudu
(God of signs, God of wonders, we worship You)
Mungu wa ishara, Mungu wa Miujiza, tunakuabudu
(God of signs, God of miracles, we worship You) (Repeat)

Wewe ni Mungu muweza yote, usiyeshindwa
(You are an Almighty God, who cannot be defeated)
Ishara zako twaona, nguvu zako twaona Yahweh!
(We see Your signs, Yahweh we see your Power)

Repeat: Oh, Tenda tena Baba (Oh do it again, Father)
Kama ulivyo ahidi, tenda (Just like You promised, do it)
Tasa uwape watoto, tenda (Give children to the barren, do it)
Waliofungwa, kukataliwa, Jehovah, tenda (To the incarcerated, the rejected, Lord do it)
Waliyolaaniwa vunja laana, tenda Muujiza tukuone (Break the curses of the cursed, do wondrous things that we may see You)

(Refrain)
Wewe ni Mungu usiyeshindwa, tunakuabudu
(You are an Undefeated God, we worship You)
Wewe ni Mungu usiyelala, tunakuabudu
(You are God who does not sleep, we worship You)
Wewe ni Mungu usiyebadilika, tunakuabudu
(You are an Unchanging God, we worship You)
Wewe ni Mungu muweza yote, tunakuabudu
(You are an Almighty God, we worship You) (Repeat)

(Refrain)


Join our WHATSAPP WHATSAPP CHANNEL or TELEGRAM CHANNEL for instant updates

Leave A Reply

Please enter your comment!
Please enter your name here